Dhahabu ya Vumbi la Vikole (Gold Dust)
Hii inajulikana kama dhahabu ya kusekesa (kupembua) inayopatikana sana kwenye mito na makongoro hasa wakati wa mvua. Wanawake wajasiriamali kwenye maeneo ya uchimbaji ndio kundi mashuhuri sana linalojihusisha na utafutaji wa Dhahabu kwa njia hii. Dhahabu hii ikifika sokoni huchomwa (huyeyushwa) kwa kutumia gesi na kuungaishwa kuwa mche yabisi.

Comments
Post a Comment