Kuozesha Kapi


Huu ni mradi wa kuozesha Kapi la VAT Plant lenye sampuli inayosoma 1.3g/t ambalo halijawahi kurudiwa. Mradi huu upo eneo la Matundasi katika wilaya Chunya, mkoa wa Mbeya. 

Yafuatayo ni maelezo ya kitaalamu kuhusu Mradi: 

1. Sampuli ya Kapi ni 1.3g/t. 

2. Ukubwa wa Kapi: 2000tons na zaidi

3. Idadi ya Matanki ya kuozeshea: 5 tanks

4. Ukubwa wa matanki kwa ujumla: 170tons.

5. Kipindi cha Mradi: Miezi 2. 

6. Matarajio ya Dhahabu itakayovunwa kwa kila mzunguko: 143grams

7. Idadi ya Mizunguko: 6 mpaka 8 ndani ya miezi 2.

8. Matarajio ya dhahabu itakayovunwa katika kipindi kizima cha mradi: 800 grams mpaka 1150grams.

9.  Pato ghafi linalotarajiwa: TZS. 81.6Mil mpaka 117.3Mil

10. Mahitaji ya fedha kwa ajili ya mradi huu - TZS. 38Mil

11. Fedha itakayotolewa itarudishwa yote kwa mkupo mmoja mara baada ya mradi kukamilika na mwekezaji au mdhamini wa mradi atapata asilimia 12% ya pato ghafi kama faida ya uwekezaji wake kwenye mradi huu.

Mwekezaji au mdhamini anaweza kuweka msimamizi wake kwenye eneo la mradi kuanzia mwanzo wa mchakato mpaka mwisho ili kuweza kujiridhisha kwamba kinachofanyika ndicho na kwa bajeti iliyopitishwa.

Kwa maoni, maswali au maelezo kina zaidi ya namna ya kushiriki katika fursa hii au mradi huu wasiliana nasi kwa namba zifuatazo: 0713332005 au tuandikie kwa barua pepe hii: aimborametals@gmail.com,

Comments

Mradi wa Shinyampwaga

UVUMI KUHUSU DHAHABU

Dhahabu ya Vumbi la Vikole (Gold Dust)

Dhahabu ya Kukamatisha (Gold Amalgam)