Mradi Uliokamilika
Udhamini Unahitajika - Mradi wa Kuchenjua Rudio katika kata ya Makongolosi
Hili rudio (Tailings) lipo eneo linaitwa Ujerumani katika kata ndogo ya Mji wa Makongolosi.
Maelezo ya Mradi
> Ukubwa wa rudio ni kati tani 120 mpaka 130.
> Sampuli ya Rudio (Tailings) ni 2.72ppm.
> Umbali wa kati ya rudio na plant ni Nusu kilomita.
> Kiwanda cha kuozeshea (VAT Leaching Plant) ina tanki 5 zenye uwezo wa kubeba tani 50 kila moja, kwa hiyo mzigo wote unatarajiwa kuzungushwa kwenye mzuunguko mmoja. Hii inaaminisha mradi huu hautachukua zaidi ya wiki tatu kuanzia kuanza mpaka kukamilika.
> Matarajio ya mradi huu utazalisha kati ya gram 200 mpaka 250 za dhahabu.
Kiwango cha fedha kinachohitajika kwa mradi huu ni TZS. 6,000,000/-. Yoyote anaweza kudhamini mradi huu hata kama sio dealer wa dhahabu. Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi na kama ungependa kudhamini mradi huu. Unaweza kutupigia katika namba hizi: 0713332005 inapatikana pia kwa njia ya whatsapp.
Mrejesho wa Mradi uliokamilika.
#udhamini #rudio #uwekezaji #thamani #investment #fursa #opportunity #gold #mining


Huu mradi umekamilika, na mteja amepata kama tulivyofanya makadirio na kwa muda tulio mkadiria. kila jambo limekwenda sawa na bajeti tuliomwandalia mteja.
ReplyDelete