UVUMI KUHUSU DHAHABU

Dhahabu iliyochomwa.

Hivi umewahi kujiuliza kwa nini uchimbaji wa Dhahabu na madini mengine ya thamani kama Vito vya thamani (Almasi, tanzanite, yakuti samawi, zumaridi n.k) yanahusishwa sana Imani za kishirikiana!? 

Kwa mfano kwenye dhahabu kuna dhana zifuatazo:
✓kuongeza/kukuza sampuli ya kwenye mtemba au ya rudio,
✓kutengeneza shimo, 
✓(gold rush) mfumuko wa ydhababu za kutengeneza,
✓kulinda sampuli n.k
✓ Pia kuna migodi wanawake hawaruhusiwi kuingia wala kusogelea!!
✓ Pia kuna wanaomini ukiwa na rudio linalosoma vizuri Sana kwenye sample unapaswa kulifunika kwa turubai kuweka uzio usio onyesha ndani la sivyo 
✓ Kuna wenye wa kuangalia na kushusha sample Yako kwa macho Yao!!!

Kama wewe ni Mchimbaji au mdau wa sekta ya madini tupe uzoefu wako kwenye hii mada na kama unadhani hii mitizamo ina ukweli wowote!! 

#dhahabu #gold #siri #fumbo #imani #uwekezaji #mila #tamaduni #hisia #mtazamo #tabia #sayansi #tanzania

 


Comments

Mradi wa Shinyampwaga

Dhahabu ya Vumbi la Vikole (Gold Dust)

Dhahabu ya Kukamatisha (Gold Amalgam)