Namna ya Kuchukua Sampuli za Rudio kwa kutumia Bomba la chuma
Njia hii inarahisisha zoezi zima la kuchukua sampuli za Udongo kwani unaweza kuchukua sampuli nyingi kwa muda mfupi. Ila jambo la muhimu zaidi ni kwamba ubora wa sampuli ni mkubwa zaidi ukilinganisha na uchukuaji wa kutumia koleo. Changamoto inakuwa pale unapokutana na rudio lililokaa muda mrefu, linakuwa gumu sanna na zoezi la kuchukua sampuli linachukua muda mrefu. Udongo uliobebwa kutoka kwenye mashimo ya sample huchangangwa vizuri kwa pamoja ili kupata sampuli inayowakilisha vema mzigo Mzima.
Namna ya Kuchukua sample kwa kutumia bomba

Kwa sampuli zinachukuliwa nyingi kwa kutumia bomba namna nzuri ya kuziweka kwa mafungu kila unafanya mizunguko kadhaa kwa mfano kila ukichoma sehemu saba tofauti, unaweza kuziweka pamoja huo udongo na kuita sample namba moja, mwingine anaweza kufanya mara kumi au zaidi inategemea na ukubwa wa mlima wa rudio na bajeti yako ulionayo.
Kama utakuwa na maswali au maoni kuhusu namna hii ya uchukuaji sample tafadhali tunachie maoni hapo chini na tutakujibu mara moja.

Comments
Post a Comment